Thursday, November 18, 2010

Make up Lyrics



Verse 1
Nilipomwona kwenye TV nilimwona mzuri Anafaa kuwa na mimi
Nilipomwona kwenye magazine alikuwa ni mweupe na mwenye kujiamini
Face to Face kwenda kukutana nae nikajua si yeye maana si kivile
Face to Face kwenda kuonana nae nikamwona tofauti kama si yeye
Ikawa ni ngumu kusemaa  mwisho wa siku akanuna girl
Ikawa ni ngumu kusemaa  mwisho wa siku akanuna girl
Chorus
Kumbe ni make up tu
Ni make up tu
Kumbe ni make up tu
Ni make up tu
Kumbe ni make up tu
Ni make up tu
Verse 2
Nilipagawa na wigi Lips rangi ya penzi (heey)
Nikajiweke mi frontline kwa jinsi alivyofake(heey)
Mascara mapowder alivyotoka utatamani ushushe trouser
Mascara mapowder alivyotoka utatamani ashushe trouser
Kumbe hakufanana na  vile nilivyomuona mbali
Kumbe hakufanana sikujua kama ni……..make up tu


Chorus(Pipi n Rama dee)
Kumbe ni make up tu
Ni make up tu
Kumbe ni make up tu
Ni make up tu
Kumbe ni make up tu
Ni make up tu

Brigde
Ooh ooh
Hizo ni make up na siooo
Husidanganywe na kioo
 Ooh ooh
Hizo ni make up na siooo
Husidanganywe na kioo
G-Nako Verse
Oooh nooo
Lazima hujijaze kichwa kichwa ..Kiboya unashikwa masikio kabisa
Kifua kimepigwa jerk makalio fake toka china straight(ooh no)
You don’t attract me anymore
Girl am super nataka kukufikisha kwenye u star  utamake up bila hata hizo make up.. wake up fuul
What  the ache is wrong with you uuh
Umepoteza ladha uuh
Umepoteza ladha yaaah
(pipi)
Ooooh
ni make up tu
(rama dee)
Husidanganywe na kioo

Brigde
Ulinifanya nikuweke moyoni chance ni kupatie kwa kunizuga na make up
Ukaniambie niwaite ndugu zangu waje wakuone kumbe demu ni scraper
Kumbe we ni make up tu…..
Chorus(Pipi n Rama dee)
Kumbe ni make up tu
Ni make up tu
Kumbe ni make up tu
Ni make up tu
Kumbe ni make up tu
Ni make up tu

Author-Rama dee

No comments:

Post a Comment


site analysis