Thursday, November 18, 2010

Si waoaji Lyrics


Verse
Husithubutu kuwapa hawa penzi
washusha trouser nyuma Dada
Husithubutu kuwapa hata chance wabana pua kwa track za njaa
Hawana Plan B, Ni watu wasiojali maumivu yako wewe yako vipi
Mchana wanalala Ndani, Usiku wanawaza Kula bata na Mababy Flani.
Hata hawajali hali nyumbani
Kula bata na wake za watu hata hawajali hofu ya Mungu
Bridge
Husiwakabidhi moyo wako ukaishi bila Amani
Husiwakabidhi penzi lako ukaishi bila Amani
Chorus
Sio waowaji hao x 2(ooohh)
Verse 2
Ukimaliza kusuka rudi ndani usubiri wakati Ufikie
Maana MA GUCCI Town yalivyomengi
Usisubiri sumu ikuingie eeh
Walamba lips na slang za A-TOWN
PROMICE za shopping zilivyokwenye chati Mchana wanalala Ndani, Usiku wanawaza Kula bata na Mababy Flani.
Hata hawajali hali nyumbani
Kula bata na wake za watu hata hawajali hofu ya Mungu

Bridge
Husiwakabidhi moyo wako ukaishi bila Amani
Husiwakabidhi penzi lako ukaishi bila Amani

Chorus
Sio waowaji hao x 2(ooohh)

Break down
Sister sister wanajiita maplay boy
Kuwa na ustahamilivu

Author-Rama dee
XXXXXXXXXXXXXXXXXX

No comments:

Post a Comment


site analysis