ABOUT RAMA DEE::
Ni mwanamusiki wa R&B ya kisasa kutoka nchini Tanzania,
Amekuwa kwenye fani hii kwa muda mrefu sasa naweza kusema ni moja kati ya
Magwiji wa musiki huu Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla, Ukiacha watu kama MR PAUL, TID.
Ana Albamu moja sokoni inayokwenda kwa jina KUTOKA MOYONI yenye nyimbo kama SARA, USIJALI, Albamu yake ya kwanza ilitoka mwaka 2008. Na ililfanya vizuri katika mauzo Hapa nchini kwetu Tanzania.
Thursday, November 18, 2010
Rama dee akiwa studio na Jors bless @ SABABISHA RECORDS
No comments:
Post a Comment